IQNA – Mtoto wa Misri aliyezaliwa bila pua na macho amefanikiwa kuhifadhi Qur’an Tukufu kikamilifu
Muhammad, ambaye ana umri wa miaka 11, pia ana kipaji cha kipekee katika kusoma Qur’ani kwa kuiga mitindo ya maqari mashuhuri.
Habari ID: 3480621 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/01
Harakati ya Qur'ani
IQNA - Raia wa Iran ambaye ni mlemavu wa macho ambaye ameihifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu nzima kwa muda wa miaka miwili amesema kitabu hicho kitakatifu kimempa "amani ya ndani."
Habari ID: 3479898 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/14
Harakati za Qur'ani
IQNA - Malaak Humaidan, msichana mwenye ulemavu wa macho mwenye umri wa miaka 24 kutoka kijiji cha Hableh kusini mwa Qalqilya, Palestina, amefikia hatua ya ajabu kwa kusoma Qur'ani Tukufu mfululuzo kwa muda wa masaa matano kwa kumbukumbu bila kutazama msahafu.
Habari ID: 3479843 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02
Tawaf
IQNA - Katika hatua yenye mvuto na yenye kuashiria Imani thabiti, Mahujaji wawili wenye ulemavu wa macho walionekana wakifanya Tawaf kwenye ghorofa ya kwanza ya Masjid al-Haram, msikiti mtakatifu zaidi wa Uislamu iliko Ka'aba.-
Habari ID: 3478886 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/26
Qur'ani Tukufu katika maisha
TEHRAN (IQNA)-Watumizi wa mitandao ya kijamii wanaendelea kusambaza video ya sherehe ya harusi ya wanandoa wa Misri, ambayo ilianza kwa bwana harusi mwenye ulemavu wa macho akisoma aya katika Sura Rum ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476506 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/02
Qiraa bora
TEHRAN (IQNA) – Muhammad Irshad Murabaei ni qari mwenye ulemavu wa macho nchini Algeria ambaye pia ni imamu wa sala nchini humo.
Habari ID: 3476393 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/12
Harakati za Qur'ani Misri
TEHRAN (IQNA) – Hajj Hassan Juneidi ni mwanamume wa Misri ambaye, pamoja na mkewe, wameanzisha kituo cha kutoa misaada kwa ajili ya kufundisha Qur’ani kwa watoto wenye ulemavu wa macho .
Habari ID: 3476200 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/05
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Abdullah Mustafa, qarii wa Qur'ani Tukufu Misri mwenye ulemavu wa macho amehofadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa kusikiliza kupitia redio na simu yake ya mkononi.
Habari ID: 3475667 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/23
TEHRAN (IQNA)- Roa'a al Sayyed, msichana mwenye umri wa miaka 11 aliye naulemavuu wa macho nchini Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa miezi 18.
Habari ID: 3474744 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani maalumu kwa wanawake wenye ulemavu wa macho yameandaliwa hivi karibuni nchini Iraq.
Habari ID: 3474528 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08
TEHRAN (IQNA) – Zuhra Darzi Alwash ni binti kutoka Syria anayeishi katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya nchi kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3473602 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/29
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha kuhifadhi Qur'ani Tukufu maalumu kwa watu wenye ulemavu wa macho kimefunguliwa nchini Russia katika eneo la Dagestan mapema wiki hii.
Habari ID: 3472138 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/19
TEHRAN (IQNA)- Msichana Mmisri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14
TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur’ani mwenye ulemavu wa macho amesema kuhifadhi Qur’ani Tukufu huwasaidia wenye ulemavu wa macho kuishi maisha mazuri.
Habari ID: 3471582 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/04
TEHRAN (IQNA)-Mtoto mwenye ulemavu wa machi Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa lugha asi ya Kiarabuna pia kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa.
Habari ID: 3471450 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/01
TEHRAN (IQNA)- Watoto watu wa familia moja wamehifadhi Qur’ani kikamilifu nchini Misri pamoja na kuwa wamezaliwa wakiwa na ulemavu wa macho .
Habari ID: 3471424 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/10
TEHRAN (IQNA)-Duru ya Tatu ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani kwa Wenye Ulemavu wa Macho imepangwa kufanyika hapa nchini Iran mwezi Aprili.
Habari ID: 3471358 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/31